Kiukweli wadau napata tabu kidogo nikiwaza dhamira ya dhati ya ukbozi wa Taifa hili inayoonekana kuongozwa kisiasa na CDM.
Chadema imekuwa ikijitahidi kugomea,kutangqza na kutoa misimamo mbalimbali lakini sasa nadiriki kusema ni mbwa qnayebweka bila meno.
Tunapotishiwa kidogo na polisi huwa tunaufyata,tunaanzisha kitu na tunakiachia njiani. Tunaibua ufisadi then tunaachia hapo.
Tuligomea kanuni za bunge la katiba,zikapita,tukalalamika juu ya jura ya siri na wazi haikusaudia kitu pia.
Maoni ya wananchi yakachakachuliwq na Samuel Sitta na maccm,tukazira hqtimaye wakapiga kura wenyewe,wakahesabu wwnyewe na wakatoa majibu wenyewe. SO SAD.
Mkajifanya kuandamana rais asipokee rasimu...sote tumeona kilichotokea.
Kama mliwashindwa ndani ya bunge,nje ya bunge na uelewa wa watanzania ulivyo wa kusuasua...tunajidanganya kujidai kuhamasisha rasimu ikataliwe.
Kuogopa polisi na kubaki jukwaani ni baadhi ya vinachotukatisha tamaa.
Maandamano yawe ya kweli na siyo kutaka kuandikwa magazetini. WE SHALL OVERCOME.ALUTA CONTINUA
Mimi siandamani bila kumuona mke wa mbowe na watoto wake mbele ya mandamano.Jibu la hayo yote ni maandamano yasiyokoma lakini viongozi wetu wa kitaifa waongoze maandamano hayo bila hivyo hamna maandamano.
Kiukweli wadau napata tabu kidogo nikiwaza dhamira ya dhati ya ukbozi wa Taifa hili inayoonekana kuongozwa kisiasa na CDM.
Chadema imekuwa ikijitahidi kugomea,kutangqza na kutoa misimamo mbalimbali lakini sasa nadiriki kusema ni mbwa qnayebweka bila meno.
Tunapotishiwa kidogo na polisi huwa tunaufyata,tunaanzisha kitu na tunakiachia njiani. Tunaibua ufisadi then tunaachia hapo.
Tuligomea kanuni za bunge la katiba,zikapita,tukalalamika juu ya jura ya siri na wazi haikusaudia kitu pia.
Maoni ya wananchi yakachakachuliwq na Samuel Sitta na maccm,tukazira hqtimaye wakapiga kura wenyewe,wakahesabu wwnyewe na wakatoa majibu wenyewe. SO SAD.
Mkajifanya kuandamana rais asipokee rasimu...sote tumeona kilichotokea.
Kama mliwashindwa ndani ya bunge,nje ya bunge na uelewa wa watanzania ulivyo wa kusuasua...tunajidanganya kujidai kuhamasisha rasimu ikataliwe.
Kuogopa polisi na kubaki jukwaani ni baadhi ya vinachotukatisha tamaa.
Maandamano yawe ya kweli na siyo kutaka kuandikwa magazetini. WE SHALL OVERCOME.ALUTA CONTINUA
Atakuwa kijana wa bavicha huyu.Hata kuandika kiswahili vizuri ni tatizo..! Hizi id nyingine sijui zinaandikwa na chekechea..!
Kiukweli wadau napata tabu kidogo nikiwaza dhamira ya dhati ya ukbozi wa Taifa hili inayoonekana kuongozwa kisiasa na CDM.
Chadema imekuwa ikijitahidi kugomea,kutangqza na kutoa misimamo mbalimbali lakini sasa nadiriki kusema ni mbwa qnayebweka bila meno.
Tunapotishiwa kidogo na polisi huwa tunaufyata,tunaanzisha kitu na tunakiachia njiani. Tunaibua ufisadi then tunaachia hapo.
Tuligomea kanuni za bunge la katiba,zikapita,tukalalamika juu ya jura ya siri na wazi haikusaudia kitu pia.
Maoni ya wananchi yakachakachuliwq na Samuel Sitta na maccm,tukazira hqtimaye wakapiga kura wenyewe,wakahesabu wwnyewe na wakatoa majibu wenyewe. SO SAD.
Mkajifanya kuandamana rais asipokee rasimu...sote tumeona kilichotokea.
Kama mliwashindwa ndani ya bunge,nje ya bunge na uelewa wa watanzania ulivyo wa kusuasua...tunajidanganya kujidai kuhamasisha rasimu ikataliwe.
Kuogopa polisi na kubaki jukwaani ni baadhi ya vinachotukatisha tamaa.
Maandamano yawe ya kweli na siyo kutaka kuandikwa magazetini. WE SHALL OVERCOME.ALUTA CONTINUA
Atakuwa kijana wa bavicha huyu.
kwenye hayo maandano siwezi kwenda hata siku moja. nitaandamana humuhumu nyuma ya keyboard. mbowe anahimiza maandamano halafu siku hiyo anakwea pipa kwenda bondeni kwenda kula good time. jioni ataangalia kupitia kwenye TV jinsi tunavyopata kipondo halafu akirudi anakuja kutoa matamko na kwenda kuonesha picha kwa mabwana zake huko ng'ambo na chama kinapata umaarufu.Mimi siandamani bila kumuona mke wa mbowe na watoto wake mbele ya mandamano.
Mimi siandamani bila kumuona mke wa mbowe na watoto wake mbele ya mandamano.