CHADEMA maji ya shingo Sirari

Kimetah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
1,049
Reaction score
189
Sirari mmeitosa chadema au vp?
siamini macho yangu kama ndio chadema ya UKAWA
 
Kwanza unapotosha kwanini usionyeshe mbele ya mkutano mhutubiaji anaangalia mbele kumaanisha ndiko kuna watu pia hiyo sirari huwa ni ccm na history inaonyesha hivyo sasa huamini nini sasa ???
 
Hapo mi naona hakuna siasa hapo ni yesu ni mungu tuu kwa vile ninavofahamu na mikutana yote ya chadama ni huwa nyomi
 
Wanauchungu na marehemu Chacha Wangwe, R.I.P Wangwe.
 
Maji yamefika shingoni? Kumbe soon yatafika mdomoni wayanywe
watulize roho!
 
Lakini mtu akiongea unamsikiliza kwa kumwangalia kichogo au usoni?. Naona picha zote hawajapiga kwa mbele
 
hata Lisu namuona kakata tamaa .but mtoa mada umetoa half story
 
Hao wanao hutubiwa mbona hujawaonyesha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…