line up mwambigija(mzee wa upako),jidawaya kaza moyo opolukwa,wananchi wanalalamika mulugo kula fedha za mfuko wa jimbo,huku hakuna barabara,shule hazijengwi,na kikao cha ndani ccm aliwaambia chadema wakija wapeni kesi hata ikiwezakana semeni wamuua albino....kiukweli jimboni kwake yuko hoi pembejeo za kilimo zimechakachuliwa na kuuzwa mbozi,hosptal haina hata plasta...source mi mwenyewe nipo huku najione!
Kwani Mulugo ni wa Mbozi au Chunya fafanua mtoa mada tukuelewe
Mkuu mutabilwa, sasa hapo afafanue nini? mbona iko wazi kabisa! Mtoa mada amesema pembejeo kilimo za jimboni kwa Mulugo zilichakachuliwa zikauzwa Mbozi, huelewi nini hapo? kwani lazima ziuzwe kwenye jimbo zilimochakachuliwa?