Mh Mbowe akiwa busy akibadilisha gia angani huku ardhini Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Professor Watoke amejiuzulu wadhifa wake sababu kubwa kwenye barua yake akiandika anashukuru Mungu kuwa sehemu ya Kampeni ambapo CHADEMA ilishinda kata zote,ila kaamua kuachia ngazi kabla historia haijamuharibikia na isitoche uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri Haki haikutendeka. Ikumbukwe mwezi wa kumi Katibu wa Chadema Hai alijiuzulu ambapo hiyo nafasi ipo wazi mpaka sasa. Kwa maana nyingine Mbowe hana Katibu Makao Makuu wala Jimboni.
Stay Tuned Makatibu kata wanafuata, then mtifuano wa Ruzuku.
Na mama yako pia.Ngoja Nyumbu Waliolishwa Unga Wa Ndele Na Mbowe Wafike Hapa
Mh Mbowe akiwa busy akibadilisha gia angani huku ardhini Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Professor Watoke amejiuzulu wadhifa wake sababu kubwa kwenye barua yake akiandika anashukuru Mungu kuwa sehemu ya Kampeni ambapo CHADEMA ilishinda kata zote,ila kaamua kuachia ngazi kabla historia haijamuharibikia na isitoche uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri Haki haikutendeka.
Ikumbukwe mwezi wa kumi Katibu wa Chadema Hai alijiuzulu ambapo hiyo nafasi ipo wazi mpaka sasa. Kwa maana nyingine Mbowe hana Katibu Makao Makuu wala Jimboni.

we huna maana kabisa, chama kilichichukua kata zote ndicho unasema kinasambaratika?
Mh Mbowe akiwa busy akibadilisha gia angani huku ardhini Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Professor Watoke amejiuzulu wadhifa wake sababu kubwa kwenye barua yake akiandika anashukuru Mungu kuwa sehemu ya Kampeni ambapo CHADEMA ilishinda kata zote,ila kaamua kuachia ngazi kabla historia haijamuharibikia na isitoche uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri Haki haikutendeka.
Ikumbukwe mwezi wa kumi Katibu wa Chadema Hai alijiuzulu ambapo hiyo nafasi ipo wazi mpaka sasa. Kwa maana nyingine Mbowe hana Katibu Makao Makuu wala Jimboni.
Stay Tuned Makatibu kata wanafuata, then mtifuano wa Ruzuku.
Cdm ni imara kuliko wakati mwingine na kuliko hata chama cha majizi
we unazungumza nini wakati mwizi namba moja tunaye tumemkumbatia! usitukasirishe saizi kamanda. wengine ndio wamejiunga juzijuzi tu ili waendelee kukishindilia chama shimoni