Chadema hawana mgombea urais kila mmojawao anaogopa kutia mguu.
Chadema hawana mgombea urais kila mmojawao anaogopa kutia mguu.
wote wale waliopo.
Huu sasa ni umbeya , wa kike una afadhali wa kwako sijui ni wa Kishoga ?Mgombea wa kudumu wa CHADEMA si Mzee Slaa?
Kwani lazima atangazwe? si kila mtu anajua?
Mgombea wa kudumu wa CHADEMA si Mzee Slaa?
Kwani lazima atangazwe? si kila mtu anajua?
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, kimesema kipaumbele chao sasa ni kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Tayari baadhi ya vyama vinavyounda UKAWA vimeshaanza mchakato wa kuwapata wagombea wao wa urais. Chama cha wananchi CUF kimempendekeza Prof. Lipumba kukiwakilisha wakati NCCR kimesema kitamtangaza mgombea wao mwezi ujao, NLD wao wamesema wanasubiri maelekezo ya UKAWA.
Binafsi nafikiri ni uamuzi mzuri.
Source: Magazetini leo.
Mgombea wa kudumu wa CHADEMA si Mzee Slaa?
Kwani lazima atangazwe? si kila mtu anajua?