CHADEMA chali

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024


Ubaya wa kukodi wafuasi ndiyo huu eti mafuriko, babu inama ufikiri pesa zako zinaliwa.
 
Wewe post tu Mr. Chin hapa si mahali pa blablaa. Utakuja juta unafanya ukidhani unawapotosha wasomi kumbe we ndo unaonekana lofa. Peleka post zako kwa michuzi
 
Bila shaka huyu atakuwa ni Mrs.Chin maana hajitambui kwa mgao wa elfu 5, doti ya khanga na kilemba... Hovyooo
 


Ubaya wa kukodi wafuasi ndiyo huu eti mafuriko, babu inama ufikiri pesa zako zinaliwa.

Na ukomeee

Twiga wanapanda ndege hawana hata passport ya kuvuka border acheni
 

Attachments

  • 1440862526690.jpg
    83.1 KB · Views: 337
PEDRO katia pande FALCAO kaingiza kwa kichwa cha mbizi 1-1.

Ebwana noma Crystal Palace wametia la 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…