CHADEMA bwana!

Kuna wahuni kama haya majizi na mafisadi yanaoliangamiza Taifa!?

Mkuu tukishauri chama tunakipenda sana kwakuwa kinachagiza maendeleo na kuiamsha serikali inapotaka kusinzia, hawa walinzi ni kama wahuni tu hawana faida..vinginevyo wavae vizuri na hizo miwani kama wachomea mageti inafanya mwenyekiti aonekane kituko.haha
 
Mbowe ni kiongozi wa upinzani bungeni na ndiyo maana anahudumiwa na serikali kama hujui, kuhusu mlinzi sijui kwa nini unawaona Rastafarian kama wahuni wakati ni imani za watu?!

Cairo's
Mkuu ukimuangalia huyo mlinzi ana muonekano wa kiulinzi kama wale walinzi wetu tunaowatambua yani wavaa suti? Hiyo tai yenyewe kafunga kihuni
 
Dah! huyo mlinzi amesimamaje sasa... kama abenwa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…