Obamaeli Rutajecha
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 230
- 274
Haitanitoa kwenye hoja yangu mkuu, usiwe na shaka.Subiria mitusi sasa
Hiyo picha ya mlinzi hodari wa kamanda mbowe inatoa tafsiri ya muhuni mkuuWe unaona nini?? Tafsiri ya muhuni unajua??
sijaona hoja hapo najionea porojo tu ulichoandika.Haitanitoa kwenye hoja yangu mkuu, usiwe na shaka.
Mkuu mm namzungumzia mlinzi hodari wa bwana mkubwa kamanda Mbowe. HahaJamani kwani mtu akimhagi "mam yake"ni kosa!!
Mie sijaona kosa la Mbowe hapo.
Mkuu kamanda wetu wa anga analindwa na kijana wa kiume aliyesokota "dred". Inapendeza eehWewe hujui maana ya "wahuni".
Nipe maana yake kwanza
Mkuu unamuona mlinzi wa kamanda mbowe au hujaelewa kituHaimkini wewe ni mwalimu was uhuni.
Halafu tukiwaita wahuni wanataka kurusha ngumi.
Hiki nini sasa jameni?
Tazama picha ya aliesimama nyuma ya MboweJamani kwani mtu akimhagi "mam yake"ni kosa!!
Mie sijaona kosa la Mbowe hapo.
Fisadi kuu mmekwama nalo huko huko ChagademaKuna wahuni kama haya majizi na mafisadi yanaoliangamiza Taifa!?
Jamaa anaonekana anafanyia posho tu, akisikia hata baruti nduki migombani au unamkutia ukingoni mwa Mlima pendwa Kilmanjaro