Kilichokufurahi ni nini?
Wassira ni mbunge, ni mwananchi na ni mwakilishi wa wananchi. Kudharau hoja za Wassira ni kudharau hoja za watu anaowawakilisha.
Kama huo ndio u great thinker, endeleeni hivyohivyo lakini mjue mnapoteza credibility day after day.
So far CDM haijapoteza kredibilite hata moja, na si rahisi kwa sasa kutokana na jinsi ilivyoweza kuvutia wananchi kutokana na sera zake, asilimia kubwa ya watz imetokea kuhamishia matumaini yao kwa cdm.
Ila nakubaliana na wewe kwenye matumizi ya lugha, sikupenda mtoa mada alivyotumia neno 'nyani'