mzee wa ndonga
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,108
- 88
Asante kwa swali zuri. Ukiwa na background ya IT is an added advantage, lakini mtu yoyote ambaye hana hata abc za IT anaweza kusoma na akafaulu bila shaka, tunahitaji mtu mwenye kuanzia advanced diploma ya kozi yoyote kuweza kusoma CISA,...Naomba kuuliza hivi kuchukua hii course lazima MTU awe na strong background ya IT?