arusha hii Kozi itafanyika kuanzia mwezi wa 9 mwaka huu pale njiro chuo cha uhasibu. taratibu zote zilishakamilika na tunategemea kuanzia mwezi wa saba kuanza kurusha matangazo..so stay tuned mkuu
Leo ndio siku ya mwisho ya kufanya registration ya darasa litakaloanza jumatatu trh 25/07/2016. tunazidi kuwakariisha wote . kwa mawasiliano tafadhali tupigie 0713 451713..