Tanzania 1 Rwanda 0 dk 20
FT Zanzibar 0 Uganda 4
Mamayangu
Hawa Zanzibar mwakahuu wamekuwaje
wote wana asili moja kwahiyo ni ndugu zaoWahabeshi wanawashangilia Wanyarwanda sana
Wanawaza Wanajeshi Waliopo Zanzibar Sasa Na Nyambizi Ile Ya Kijeshi Inayoibuka Kila Asubuhi Na Jioni Baharini Unguja Na Pemba. Hofu Yangu Wachezaji Wa Zanzibar Wasije Tu Wakatokomea Huko Huko Addis Ababa.Hawa Zanzibar mwakahuu wamekuwaje