msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
Kama unaishi nyumba ya kupanga huwezi kuelewa huu uziYawezekana kweli unasumbuliwa kwa kuwa unaenda CDA ambayo kwa sasa haipo kabisa ilishafutwa, fanya mpango uende kwa Mkurugenzi wa Mji wa Dodoma.
Unaota wewe CDA ya wapi tena..??Jamani naomba nitoe dukuduku langu ni mwezi karibia wa tano huu nafuatilia kibali cha ujenzi hapa CDA dodoma,ila sijafanikiwa,kiwanja changu kimepimwa,michoro imekamilika,kila documents inayotakiwa nimeambatanisha,kiwanja hakidaiwi,nimelipia na malipo kwaajili ya kibali cha ujenzi Tshs.49,500 lakini mpaka leo file halitoki,ukienda wanakwambia lipo kwa huyu,mara kwa yule mara halionekani,ni kwanini wanakuwa hivi?nawaza mimi kiwanja changu kimepimwa na kina documents zote,vp wale ambao viwanja havijapimwa?
Hivi mwenye nchi akigundua utumbo wanaoufanya hawa wataendelea kuwepo kweli? System yao ya uhifadhi wa documents ni mbaya kabisa na hawana coordination katika kazi,huyu anapitisha file,linafika kwa mwingine anaweka marekebisho,mnachelesha maendeleo ya DODOMA bila sababu ya msingi.
Inasikitisha sana, karne ya ishirini na moja bado kuna analogue files ambazo zimejaa vumbi na mpangilio ambao si rafiki kwa kuyatambua mafaili hayo. Tubadilike.Pole.mi nimefuatilia file langu miaka 2 sasa nilipie kodi ya ardhi halipatikani hivyo ninashindwa kulipia
Bad reference, jengo hilo lilipata msukosuko sana kwa kujengwa kinyume na sheria, na hatimaye lilibomolewa bila fidia. Asifuate mkondo huosheria inaruhusu kuanza ujenzi baada ya siku 60 kama
kibali hakijatoka na umekidhi vigezo vyote. nafkiri kama nna taarifa sahihi, ndo namna jengo la tanesco ubungo lilivyojengwa kipindi icho!
yawezekana wewe ndio kwanza umetoka kupanga na ulinunua kiwanja enzi za CDA ndio maana unateseka, sie wenzio wa kongwe Dodoma kuna majumba sio kiwanja chako unachopigia kelele hapa ambapo hujiu pa kuelekea , unakuja huku unapewa ushauri una leta maneno ya kwenye kanga. basi endelea na CDA yako.Kama unaishi nyumba ya kupanga huwezi kuelewa huu uzi
sawa mke nimekuelewa wife materialsyawezekana wewe ndio kwanza umetoka kupanga na ulinunua kiwanja enzi za CDA ndio maana unateseka, sie wenzio wa kongwe Dodoma kuna majumba sio kiwanja chako unachopigia kelele hapa ambapo hujiu pa kuelekea , unakuja huku unapewa ushauri una leta maneno ya kwenye kanga. basi endelea na CDA yako.
Hao wote ni haohao mbona.Sasa hivi dodoma hakuna CDA ilishavunjwa inayofanya kazi ni halmashauri mkuu badirisha title ya uzi wako na Content kwa ujumla.