Embu kwanza nieleze, nikiweka yote haya kuna point ya kuwa na mlango wa grill? Maana mi naona unaharibi show, but watu wanasema unasaidia kwenye security.
Je hizo security wire, umeme hazili sana? Nijibu haya tu, maana kieneo changu kikubwa, sqm 2800