Ameeeeeen AmeeeeeenNitashangaa kama sitasikia uongozi wa Halmashauri (Jiji) la Arusha kuchukua hatua za kisheria na kudai fidia kwa makusanyo yote yaliyochukuliwa kimabavu na chama tawala.
MAtukio kama haya ndiyo yaliyoturudisha nyuma miaka hamsini. Halafu hawa hawa wakiambiwa ukweli eti wanawaita wapinzani makanjanja, sasa kanjanja original hapa ni nani?
Jiji la Arusha liongoze majiji mengine kusafisha uchafu na ubabe huu ulioenea nchi nzima.
Nawasifu walioandaa hii ripoti Mungu awabariki.
Tunahitaji uwanja wetu hizo habari za uhai wa mtu hazituhusuHivi huyo mzee Nyanda ni mzima hadi leo?
Hii taarifa ni ya mwaka gani?
Na njoolay ashitakiwe kwa kupora mali ya watanzania kwa mabavuKama kweli Rais Magufuli ni mzalendo kama anavyojitapa ni wakati mwafaka jwake ku revoke hati hii ambayo ilitolewa kwa maelekezo ya kikao cha mkuu wa nkoa wa Arusha wakati huo,kinyume cha sheria na taratibu
Teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh ,huo ndio uzuzuHapo mnataka kumshika simba nyeti zake, mnatafuta balaa, mkae mkijua ccm wanaamini kwamba hata ikulu ni jengo lao
Nanyaro hii issue ni rais sana nyie waachieni ccm waendelee kumiliki huo uwanja then kusanyeni kodi halali ya ardhi na mali lazima watakuwa wanawalipa hela nzuri maana huo uwanja upo prime area. Na ccm walivyo najua hata julipa hiyo kodi itawashinda
Nilimwona yeye mwenyeweeeeeeeeeee!!Umemona yeye au yule mtoto wake aliyeopo jeshini?
Vile vile wanzanzibari wapewe visiwa vyao.Tunahitaji uwanja wetu hizo habari za uhai wa mtu hazituhusu
Mkuu tunawaombea duaNi aibu kwa mkuu wa mkoa kugawa uwanja wa umma kwa maslahi machache ya chama chake!
Kuna wanaokebehi,hao tunawasamehe na kuwapuuza.Tutasonga mbele kuhakikisha kuwa HAKI ya watu wa Arusha inapatikana
Tutafurahi Tanganyika yetu ikirudiVile vile wanzanzibari wapewe visiwa vyao.
Nimeamini jina hubeba hatma, mtu unamuita mwanao Jalala, akiwa Jalala unalia na MunguHivi huyo mzee Nyanda ni mzima hadi leo?
Hii taarifa ni ya mwaka gani?