CCM yapata aibu Babati

Ilitara kimura

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,883
Reaction score
1,854
Wana JF, nipo hapa Babati mida hii CCM wameitisha mkutano na boda boda ili kuwambia kwamba wapinge ushuru wa maegesho unaotozwa na halimashauri ya mji wanayoiongoza wao wenyewe!

Lakini aibu waliyoipata bajaji zilizohudhuria ni nne na piki piki ambazo hazifiki tano!

Nawapongeza boda kwa kukataa unafiki huu wa ccm! Kwamba kodi wapange wao kisha wawe wa kwanza kuipinga!

Nawasilisha
 
walipitisha kodi ya laini wenyewe,na kuanza kuipinga...C.C.M janga la Taifa
 
Vikao mkae nyie,
Posho mle nyie,
Kodi Mpange Nyie,
Kupinga Tupinge Sisi,
Majangaa, MACCM Majangaaa!.
 
"ccm kwishinei" kweli hawa kwishnei kabisa......, nafikiri hawatumii tena akili yao kufikiri bali wanantumia ma------ kufikiri..hayo ndiyo majanga.
 
Rose kamili suku ndiyo amekuambia uje kupost hii post leo.
 
Kazi ya kichwa ni kufikiri na kazi ya ma.ka.lio ni kukaa,sasa maccm yanapofikiri kwa kutumia ma.ka.lio huku ni kuyaonea ma.ka.lio ambayo kimsingii kufikiri sio kazi yake.
 
ukisikia mtu anafikiri kinyume nyume ndo hivyo wanavyofanya magamba.
 
mafisadi yao ngumuuuuuuu!

watajajua kilichomnyoa kanga ndege manyoa ya shingo.

2015 si mbali!
 
Majambazi hayo tumeyachoka... kazi yao kung'oa watu kucha na meno..... tuone nani zaidi kati ya chama cha mafisadi na wananchi na ccm
 
ccm tushaizika huku,chambiri anamalizia mda wake
 
Nani anakubali harufu ya mavi ya mtu mzima anayekula supu za ngozi? unajua Sisimu hawajijui wanakwenda tu, hakuna tafiti mpaka karibu na uchaguzi ndiyo wanawatafuta wale profesor uchwara/njaa na kufanya utafiti wa ofisini
 
Safi sana, watanzania popote walipo tuwakatae hawa ccm ukoo wa panya

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…