Elections 2010 'CCM yampa meno Shimbo' laandika Mtanzania

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Jamani, nimeiona hii headline katika gazeti la fisadi papa RA MTANZANIA leo hii: 'CCM yampa meno Shimbo.' Niashitushwa sana -- maana bila shaka yoyote ni uamuzi uliotolewa na kikao cha kamati Kuu ya CCM kilichokutana Ikulu siku ya Jumapili iliyopita. Sijaisoma stori yenyewe kwani huwa sinunui hilo gazeti, lakini nilishtushwa sana na hiyo headline.

Hivi kumbe kweli Shimbo anatumiwa na CCM? Anafanya kazi kwa amri ya, nakwamasilahi ya CCM? jamani sasa naamini tumekwisha, hasa ikizingatiwa kwamba wanaodhamiria kumrudisha JK Ikule ni RA-Subhash-Manji clique -- watatu hawa wanawaendesha wana-CCM kwa pua!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…