CCM yafanya ziara kuimarisha chama Arusha.


hii labda ilifanyika nyumbani kwa lowasa...
 
sina wind vane
Eh upepo unapimwa kwa wind vane?nini tofauti ya uelekeo wa upepo na kasi ya upepo?Nini tofauti ya wind vane na anemometer?mbona ni jeografia ya kidato cha kwanza kwa enzi zetu cku izi itakuwa darasa la nne.
 
mkuu hawa jamaa wa bavicha waliahidiwa viwanda vya gongo, kwahiyo wamelewa kabla havijaja!

Mbona hatujaiona hiyo ziara mitaani?

Mnawaita mabalozi wenu wenye ndala chakavu hapo Ccm mkoa kuwapa Gongo halafu mnasema mmefanya ziara..tehe..tehe.

Hamthubutu kuja mitaani.
 
imarisheni chama ila kama hamtamteua prof. anna tibaijuka kupeperusha bendera ya ccm 2015 ukawa tutawapiga bao tu. prof. huyu anna tibaijuka hana upinzani. yani yupo fit sana
 
CCM ipo wilaya ya Ngorongoro sehemu za wajinga za Loliondo kwa wawekezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…