M msema.kweli Member Joined Sep 3, 2015 Posts 26 Reaction score 64 Sep 6, 2015 #1 Eti kuna tetesi kwamba Lowassa ameongeza umaarufu kuliko magufuri baada ya hotuba ya Dr Slaa? Eti Magufuri ameanza kukata tamaa mpaka kufikia hatua ya kujitekenya na kucheka mwenyewe? Basi Sawa!!
Eti kuna tetesi kwamba Lowassa ameongeza umaarufu kuliko magufuri baada ya hotuba ya Dr Slaa? Eti Magufuri ameanza kukata tamaa mpaka kufikia hatua ya kujitekenya na kucheka mwenyewe? Basi Sawa!!
mdafanga JF-Expert Member Joined Apr 15, 2015 Posts 618 Reaction score 197 Sep 6, 2015 #2 Dr slaa kagailisha mahojiano leo Azam tv...huenda ikawa sababu hyo...kumpiga chura teke ni kumwongezea mwendo.
Dr slaa kagailisha mahojiano leo Azam tv...huenda ikawa sababu hyo...kumpiga chura teke ni kumwongezea mwendo.
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 Sep 6, 2015 #3 mdafanga said: Dr slaa kagailisha mahojiano leo Azam tv...huenda ikawa sababu hyo...kumpiga chura teke ni kumwongezea mwendo. Click to expand... Kamuogopa Tido Mhando kwani maswali yangekuwa ya ukweli. Sio kule star tv ccm branch wanaremba maswali.
mdafanga said: Dr slaa kagailisha mahojiano leo Azam tv...huenda ikawa sababu hyo...kumpiga chura teke ni kumwongezea mwendo. Click to expand... Kamuogopa Tido Mhando kwani maswali yangekuwa ya ukweli. Sio kule star tv ccm branch wanaremba maswali.