CCM wana nyanyapaa CCM

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,791
Reaction score
850
Jamani tajeni jina la chama chenu....tumekisahau. Mara Magufuli, Mara john Pombe ndiyo yanasikika lakini CCM imekuwa adimu mno!.

Kwa nini?
 
Mgombea anajinadi kwenye anasema - Tanzania ni Magufi itafanya.......badala ya kusema Tanzania mpya ya awamu ya tano under CCM itafanya ........

CCM anainyanyapaa sana.
 
Wamechanganyikiwa ndiyo maana wanasema M4C=Magufuli for change. Wajinga kweli kweli.
 
Jamani tajeni jina la chama chenu....tumekisahau. Mara Magufuli, Mara john Pombe ndiyo yanasikika lakini CCM imekuwa adimu mno!.

Kwa nini?

Mara ya mwisho kusikia chadema lini maana ni ukawa na Lowasa
 
Ndo hivyo ccm imeshaondoka kwenye raman ya Tanzania sasa tunatakiwa kukatisha mkataba kisheria ifikapo tarehe 25
 
Jamani tajeni jina la chama chenu....tumekisahau. Mara Magufuli, Mara john Pombe ndiyo yanasikika lakini CCM imekuwa adimu mno!.

Kwa nini?

Sasa hivi wameania m4c

Ccm bwana dah

Huwa nikiangaliaga pugu road sijawai kuona duka LA mzawa hata mmoja taifa hili ni taifa la slaves
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…