CCM wamshambulia mdhamini CHADEMA


Umenena mkuu.
 
Nchi inamiko yake haiwezi kuvurugwa na ujinga wa chadema kama unavyodhani.

He! kumbe hata ninyi mnamiiko? ndio maana Twiga wazimawazima wanaibwa na waarabu uwanja wa ndege, pesa zinachotwa BoT - kumbe mna miiko? miiko gani hiyo?
 
majibu ya huyu mama ccm yanaonyesha chama kilivyo mkusanyiko wa watu wenye utindia wa ubongo. kama hakujua kuwa hassanal ni chadema, alipobandua uchafu sauda kwenye ofisi yake ilikuwa taarifa kamili kuwa yeye siyo wa ccm. kulikuwa na sababu gani ya kuanza kumshambulia? halafu toka lini ccm imekuwa na hati miliki ya wahindi wote wa kisutu? wafuateni wahindi wenu wanaofanya biashara za magumashi ndiyo wanaihonga ccm wakati wa chaguzi ili wasije shikwa na biashara hizo haramu za kukwepa kodi ya serkali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…