hauijui Shinyanga wewe gamba kaa kimyaUnaongea kitu ambacho huna uhakika.Upinzani shinyanga hakuna kabisa.na CCM watachukua majimbo yote.wadanganye wasio ijua shinyanga
Umeona mkuu eeh? Huyu jamaa mjinga sana anajidai kuijua Shinyanga kuliko sisi tuliopo hapa mjini! Kwa ufupi Masele angeacha tu akaenda kuitumia hiyo hela kwenye mambo mengine!! Hapa mjini hapati kitu, hiyo habari ya kura 1 mwaka huu haiwezekani kabisa!!hauijui Shinyanga wewe gamba kaa kimya
Wewe Suleiman ngosha a.k.a Suleiman Nchambi mwaka huu unachezea kichapo huko huko Kishapu kwa Mpendazoe hufurukuti!!Unaongea kitu ambacho huna uhakika.Upinzani shinyanga hakuna kabisa.na CCM watachukua majimbo yote.wadanganye wasio ijua shinyanga
Umeona mkuu eeh? Huyu jamaa mjinga sana anajidai kuijua Shinyanga kuliko sisi tuliopo hapa mjini! Kwa ufupi Masele angeacha tu akaenda kuitumia hiyo hela kwenye mambo mengine!! Hapa mjini hapati kitu, hiyo habari ya kura 1 mwaka huu haiwezekani kabisa!!
Umeona mkuu eeh? Huyu jamaa mjinga sana anajidai kuijua Shinyanga kuliko sisi tuliopo hapa mjini! Kwa ufupi Masele angeacha tu akaenda kuitumia hiyo hela kwenye mambo mengine!! Hapa mjini hapati kitu, hiyo habari ya kura 1 mwaka huu haiwezekani kabisa!!
Wewe Suleiman ngosha a.k.a Suleiman Nchambi mwaka huu unachezea kichapo huko huko Kishapu kwa Mpendazoe hufurukuti!!
Sasa hivi chama kinapumlia mashine, hii ni baada ya ujio wa Pombe aina ya "Mapuya" Joseph Magufuli hapa Shinyanga na kujifanya hamnazo na kujikuta akiropoka mbele ya kadamnasi kwamba kuna watu mchana ni CCM na usiku ukiingia wanahamia UKAWA. Katika mkutano wake huo alimtaja Gasper Kileo (GAKI) kama msaliti. Siku hiyo almanusura mkutano uingie dosari. Sasa kwa vile GAKI amekuwa mfadhili wa ccm kwa muda mrefu, kitendo cha kutajwa hadharani kama msaliti kimemwumiza sana pamoja na wapambe wake, hivyo wamekuwa na roho ya kinyongo kwa mgombea ubunge wa jimbo la Shinyanga town kupitia ccm.
Mtifuano huo ndani ya ccm ni faraja kubwa sana kwa UKAWA na ni ishara wazi kabisa kwamba jimbo hili ni la UKAWA, ije mvua, lije jua!! Masele hana chake na hii inachagizwa na mtifuano uliopo ndani ya ccm na umahiri wa kujieleza wa mgombea wa UKAWA kupitia CHADEMA (Patrobas "Mzimu wa Shelembi" "Sauti ya Zege" Katambi). Naomba hili jimbo liorodheshwe kwenye majimbo ambayo UKAWA tayari wameshajihakikishia ushindi.
Asante YESU kwa kuyafanya haya yatimie!!!
Unaongea kitu ambacho huna uhakika.Upinzani shinyanga hakuna kabisa.na CCM watachukua majimbo yote.wadanganye wasio ijua shinyanga