Ccm ,practice what you preach and nothing else!

Dik

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
1,205
Reaction score
416
Inashangaza sana kwa chama cha mapinduzi kuanzisha personal attacks na kujisahau kuwa wana mengi waliyoahidi kwenye ilani yao ya uchaguzi na hawajatekeleza mpaka sasa!mpinzani kusimama na kutangaza kutotekelezwa ahadi zenu ni kazi yake na ndicho tunapenda kusikia toka kwao!tambueni kuwa hamkuruhusu mfumo wa vyama vingi ili vije kuwasifia nyie chama tawala!mnapaswa mjitathmini kuwa ni kwa nini mnakosolewa!its just kwa sababu ya uzembe wenu wa kujisahau na kuona kama watz ni mashine zenu za atm!wamezinduka mnashindwa mfanye lipi muache lipi!badala yake mnashindwa kufanyia kazi ilani yenu na kuanza kutekeleza ya upinzani(CHADEMA).Hatuhitaji degree, masters au phd kumpata wa kutuongoza bali uelewa,dhamira safi na nia ya dhati inayotambua na kuthamini haki na utu na ukombozi wa kweli wa mtanzania!mnyika is more than bachelor degree,masters and even some phd holders!he's smart enough!tumeridhika nae na tunahtaji vijana ikiwezekana bunge zima wenye hadhi ya mnyika!acheni kuangalia personal life za watu na kuzihubiri majukwaani!PRACTICE WHAT U PREACH ACHENI LONGOLONGO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…