CCM ..... Oyeeee....au Ziiiiii......kwa nini, why?

Mchekechoni

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
279
19
Kila mwana JF ana mtazamo wake binafsi juu ya CCM na Serikali yake. Jipe credit kwa kuikubali au kuikataa CCM, na je tuipotezee kama KANU kule Kenya?
 
Umetumwa kuja kupima uone kwamba maiti CCM bado anahema au la kwa watu wangapi eti????

kazi kweli kweli!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…