CCM Musoma Mjini njooni na mgombea mpya

ni nani leo kutoka ccm ambaye anaweza kuthubutu kuja kushindana na upinzani mkoa wa mara?labda aje kukamilisha ratiba ya uchaguzi na kujipotezea muda.Ccm hii ya maslahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…