Emmanuel Luoga
Senior Member
- Oct 26, 2012
- 111
- 29
kweli kabisa maana hawa hajamaa ni hatarikaka kama unaweza kum video tape huyo ndugu kwy simu yako unaweza kuwa msaada mkubwa sana mapambano yanaendelea kwani hakuna nguvu ya pesa inashInda nguvu ya umma
Tayar Vita Imeanzishwa Na Kigogo Wa Bandar Kutaka Kununua Jimbo La Morogoro Kusin Kwa Kuwanunua Wajumbe Ameanza Zoez hili Miez Sitta Iliyopita Anawapa Wajumbe kati Ya Laki na Elfu 50 Kwa Ujumla Kigogo wa Bandar sio Mtu Wa Kule Ila Anatumia Pesa Kununua Wajumbe Ili Apite Kwenye Kura Za Maon Sisi Tutawambia wananach wenye Mamlaka Na Jimbo lao Kila Kitu Na Tuwasihi Wawaache Wafu Wazikane Hapa Innocent Kalogelez Hapa Kigogo Wa Bandar #Ukawa Tunakusanya Data Tu Wataisoma mwaka Huu
Kweli mkuu inabidi amtaje huyo jamaa ili tumfahamuMimi ni mwenyeji wa hilo JIMBO mtaje huyo mtu hii mambo ya kigogo cjui nini kwa sasa haina Nafasi watu tumepeleka ukawa vjjn tumepata mitaa yakutosha J3 naelekea tena huko kuhamasisha Vijana kujiandikisha maGAMBA hayatakuwa na Nafasi so km kuna mtu yyt anaanza kugawa vipesa nimuhimu kummlika Mchana na TOCHI huyo ni mtu Hatari
Kweli mkuu inabidi amtaje huyo jamaa ili tumfahamu