Magamba wakumbuke kuwa Arumeru sio Rukwa au Shinyanga au Kigoma !!!!
Amani ikitoweka Arumeru, utalii Tanzania unakufa na taifa litakosa mapato, sijui Omba omba ataomba wapi tena na kote duniani hawamtaki tena.
Watalii wote wanaotua KIA kwenda mbuga za wanyama wanapita Arumeru Mashariki -Kuanzia kikatiti, maji ya chai, Usariver, tengeru.
Pia watalii wote wanaotua Nairobi JKIA wanaokwenda kupanda kilimanjaro wanapita tena Arumeru Mashariki.
Hoteli na Lodge nyingi za Kitalii zipo Arumeru Mashariki.
NEC, Polisi na Usalama wa taifa watch out!!!... Mkiwasaidia magamba kuchakachua kura, halafu wameru wachukie, oooohooo sijui muziki wake utakuwaje?????
natumaini mnakumbuka mwaka 1993 wakati wameru wanagombania Dayosisi..
Sitaki kusema mengi zaidi.