Mwadui Senior Member Joined Dec 17, 2010 Posts 102 Reaction score 2 Feb 12, 2011 #1 nimekaaa nikajiuliza mbona wabunge CCM hawazungumzii suala la mgao wa Umeme au wenyewe haliwagusi?? hata wale wanaopata nafasi ya kuzungumza bungeni hawatoi kero hii au wamekatazwa??
nimekaaa nikajiuliza mbona wabunge CCM hawazungumzii suala la mgao wa Umeme au wenyewe haliwagusi?? hata wale wanaopata nafasi ya kuzungumza bungeni hawatoi kero hii au wamekatazwa??