CCM kumtumia Mkapa Katika Ufunguzi Wa Kampeni Arumeru East Mmechemka

Puppy

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
2,995
2,494
Watu Wa Meru mashariki wanakumbuka vizuri maneno yako Mh. Mkapa.
siku ile ulipokuja kijiji nyumbani kwa marehemu mbunge Sumari (R.I.P) kufungua shule ya sekondari Akheri.
ulisema kuwa ,wewe umekuja tu kufungua shule na sio lingine lo0lote eti kisa hawakukuchagua, na haukutoa lolote.

wewe leo unategeme awameru watakusikiza kwenye ufunguzi? au ni wale mtakaowaleta kwa malori? watakuja na kusikiza muziki kisha watasepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…