jamani sasa hv ni chagua magufuli neno chagua ccm 2melipumzisha kwa mda mpaka uchaguz upite 2naomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza
Hivi kwann ccm ukiwauliza wanawaahidi nn watanzania wanasema magufuli jembe
Baada ya Mafisadi na wezi kukihama. Hakika CCM ni chama kipya sasa. Hakina hata miezi miwili
jamani sasa hv ni chagua magufuli neno chagua ccm 2melipumzisha kwa mda mpaka uchaguz upite 2naomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza
Teh teh teh teh! We jifanye chizi tu!Baada ya Mafisadi na wezi kukihama. Hakika CCM ni chama kipya sasa. Hakina hata miezi miwili
Kama ushindi unatokana na kuwa na mabango mengi basi ccm tayaria wameshinda. Maaana kila kona tangazo. Chama kimekaa madaraki miaka yote hiyo lakini kinajitangaza kama chama kipya. Tangazo Moja tuu la lowassa linameza matangazo 100 ya magufuli.
Hii inaonyesha wazi kabisa kuwa magufuli hakubaliki na chama kimepoteza dira.[/QUOTE ] napita tu maana. .. .