Kumkalibisha aliyekuwa adui, tena unamkalibisha kwakumnunua. Ili auunge juhudi za mheshimiwa, akishaunga unamwami i na kumpa mpaka cheo, eeee ajinafasi. Unamwamini vipi kama moyo wake. Wote uko ccm. Kumbuka uliyemkalibisha alikuwa adui jana leo unamwamini.
Mla, MUMEMEZA SUMU NDO MANA SIRI ZENU NYINGI ZINA VUJA. NIWAPE SIRI FUKUZANE WOTE AUMSIWAPE MICROPHONE. upinzani halisi uko ndani ya mtu sio kwa kuhongwa. Ndo mana hata majimbo ya waloounga juhudi za mkuu bado kula mnaiba, bado upinzani ni mkubwa tu. Ili mshinde mpaka muibe. Mana bila kuib no ushindi.