CCM imefilisika

MBUTEGWANE

Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
33
Reaction score
8
Chama cha mapinduzi kimefilisika kabisa kwa kukosa viongozi wazalendo ambao wataliongoza taifa hili kwa miaka kumi tena ijayo. Kwani viongozi waliopo hakuna msafi hata mmoja. Wezi hawana maadili na wadhulumaji wakubwa haki za jamii. Taifa limekuwa la wezi! Je nani msafi? Maana maccm nasikia yanataka kumpa lowassa aongoze taifa hili la masikini, Lowassa huyuhuyu anatuhuma za kushiriki kuwaibia watanzania kupitia richmond pamoja na maswahiba zake wakishirikiana. Leo hii richmond imemung'oa Muhongo, Je! Nini matokeo yake endapo kama mtampa uraisi mtu ambaye ameua shirika la TTCL? Haya bwana kazi kwenu wananchi wapiga kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…