CCM imechoka, tuitoe!

CCM ilishatoka kwenye mioyo ya watanzania,we subiri tarehe 25 october.
 
Pia andika population ya watu katika nchi hizo zote za EA usiishie kupima tu Ukubwa.
ISSUE YA POPULATION SISI TZ NDO TUNA THE LOWEST POPULATION DENSITY KATIKA EAST AFRICA. POPULATION DENSITY NI KIPIMO SAHIHI CHA ACCESS TO RESOURCES NITAFAFANUA; TANZANIA INA WATU 50/ SQKM, KENYA WATU 70/SQKM, UGANDA INA WATU 170/ SQKM, BURUNDI WATU 330/ SQKM, RWANDA WATU 600/SQKM. UKILINGALISHA WATU 12 WA RWANDA WANA FURSA YA KUTUMIA RASLIMALI KWA ENEO SAWA NA MTU 1 WA TANZANIA, WATU 6.5 WA BURUNDI SAWA NA MTU 1 WA TANZANIA, WATU 3 WA UGANDA SAWA NA MTU 1 WA TANZANIA NA MTU 1.5 WA KENYA ANA FURSA SAWA NA MTU 1 WA TANZANIA KATIKA KUTUMIA RASLIMALI KATIKA ENEO BILA KUJALI HALI YA ECOLOGIA YA ENEO HILO. ii kwahiyo ya idadi ya watu haina mshiko kwako wewe uliyeibua hoja hiyo. uwezo wa viongozi wetu ndo tatizo. baada ya uhuru mwalimu aliainisha maeneo manne ambayo ni; ARDHI, WATU, SIASA SAFI, NA UONGOZI BORA KAMA NYENZO ZA KUPAMBANA NA MAADUI WATATU; UMASKINI, MARADHI NA UJINGA. LAKINI NA UONGOZI MBOVU KWA MIAKA 50 NA USHEI YA UTAWALA WA CCM VIONGOZI AMBAO NI NGUZI YA MAENDELEO WAMEIBUA TATIZO LINGINE LA CORRUPTION AND CCM IS THE BREEDER OF THE FOURTH CRITICAL PROBLEM.
 

Nimeipenda hii, japo najua CCM hawawezi kuelewa. Ndio maana tunasema kipaumbele cha kwanza Elimu, cha pili Elimu na tatu Elimu.!
 

Kwahiyo unatakaje labda?
 
Kuchagua ccm ni kuchagua kurudi nyuma. Itafika pahala hali itakuwa mbaya kuliko wakati wa ukoloni.
 
Kumchagua mgombea wa CCM ni kuchagua umasikini tena na maisha magumu kwa miaka mingine zaidi ya 50 ijayo. EDWARD LOWASSA ndiye rais tunayemtaka.
 
Mimi ni mwanachama wa sisiem lkn kura yangu kwa Lowasa tuu
 
Mkuu ulichosema kina mantiki,ila kwavile wanaotaka hayo maadiliko wameamua kujitia upofu na ukiziwi wakiendeshwa na mihemko.
 



ni kweli ccm imechoka lakini lowasa na sumayi wako hoi...kifikra na kimwili...kwa hivyo option yetu ni magufuli na mama samia.....damu mpya na yenye utashi..... Watanzania wako vizuri asante sana twaweza kwa kuikumbusha jamii ya boda boda!
 
Ni kweli CCM imechoka ila bahati mbaya haina mbadala wake.

Ukawa hawawezi kuwa mbadala wa CCM kamwe. Napenda mabadiliko ila sipendi mabadiliko ya kijanjanja janja.
 
Mkuu ulichosema kina mantiki,ila kwavile wanaotaka hayo maadiliko wameamua kujitia upofu na ukiziwi wakiendeshwa na mihemko.

Inaudhi sana mkuu. Kila mtu anataka changes lakini swala la kukurupuka na kumpa mtu yeyote nafasi nyeti eti kwa excuse ya mabadiliko, ni jambo lisilokubalika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…