mimi siipendi ccm, na moja ya sababu ya kuichukia ccm ni lowasa. nitamchagua MAGUFULI. namchukia lowasa kuliko navoichukia ccm.
Ili ushinde, lazima ukubalike,
CCM hawakubaliki pamoja na kuwa wametumia pesa nyingi sana kulazimisha kukubalika. Mfano ni wa kukodi wasanii, kugawa bure matshert na kofia
Vijana % kubwa hawaitaki,
Ukweli vijana ndio wapiga kura wengi, ndio wanaoitaji mabadiliko
Wamama wengi wataichagua CCM,
Pamoja na hilo, mabadiliko kwa kiasi fulani yamebomoa ngome ya wamama watakao ichagua ccm.
Watu wa makomo wanaume,
wengi watachagua mabadiko
Wazee,
Kutakuwa na kura za mgawanyiko. Nusu mabadiliko, nusu ccm
CCM imebakiza mtaji wake mkubwa kwa wamama na sehemu nyingine kwa uchache
Kiujumla na kihalali, lazima Chadema ishinde
MnanioneaaaaIli ushinde, lazima ukubalike,

Tusidanganyane ni bora kuambizana ukweli tu! Ukweli ni kwamba Watanzania sote tumeichoka CCM! Awe ni mzee, kijana, makamo, kinamama, kinababa, wafanyakazi, wakulima, wasomi na hata wapumbavu na malofa!
Hajabu kubwa Tena Nasisitiza kuwa Magufuli Amejinadi Yeye kama Magufuli.Sasa ktk Form ya kupiga kura Hakuna Magufuli pale.Pale kuna CCM.ina Maana Magufuli Alikuwa anakimbia Hakijua fika pakujificha hamna.Watu tumechoka Na Ccm.Pale Kwenye CCM Palitakiwa kuwe ni Magufuli kwani watu Wamemsikia Magufuli ktk Kampeni zake na Siyo chagua CCM.Naona imekula kwa Magufuli.