TangaNyika_TZ JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 239 Reaction score 52 Sep 22, 2015 #21 Mtemi mpambalioto said: wewe acha kutingisha antenna wewe pimbi! sie nyumba zetu tumejenga tembe tunataka ubaridi huko aridhini! tembea huko Click to expand... Nyumba za kawaida zenye bati na ceiling boards zina joto sana eeehh???? CCM outttttttttttttt
Mtemi mpambalioto said: wewe acha kutingisha antenna wewe pimbi! sie nyumba zetu tumejenga tembe tunataka ubaridi huko aridhini! tembea huko Click to expand... Nyumba za kawaida zenye bati na ceiling boards zina joto sana eeehh???? CCM outttttttttttttt
impongo JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 8,838 Reaction score 7,891 Mar 3, 2016 #22 Ugum wa maisha uliopo Dodoma na matokeo ya uchaguzi vinadhihilisha hilo. Ukikutana na mwenyeji wa Dom kachoka in tofauti na wengine walivyo kama wagonga kokoto
Ugum wa maisha uliopo Dodoma na matokeo ya uchaguzi vinadhihilisha hilo. Ukikutana na mwenyeji wa Dom kachoka in tofauti na wengine walivyo kama wagonga kokoto