Wananchi Wa Mkoa Wa Dodoma Wameshachoka Na Ccm Kila Kona Ukipita Wanasema Wanataka Mabadiliko Ya Lowassa Ili Waaondokane Na Kuomba Na Kuendelea Kuishi Kwenye Nyumba Za Tembe,hadi Karne Ya Sayansi Bado Wanaishi Ktk Nyumba Za Tembe, Wananchi Hao Walidai Kuwa Ccm Inasema Kwamba Dodoma Ni Ngome Yao Mwaka Huu Hawapati Kitu!
Unaota kama yule anayejinyea

wewe acha kutingisha antenna wewe pimbi! sie nyumba zetu tumejenga tembe tunataka ubaridi huko aridhini! tembea huko
Mkuu wewe jifariji mwaka huu mtakoma kulinga na nina imani kura za rais mkipata zaidi ni 25% mliyompa Lowasa.Unaota kama yule anayejinyea
Miaka hamsini na nne wanapiga pushapu...Tanga kimenuka Wema hana hamu..
Unaota kama yule anayejinyea
Mkuu wewe jifariji mwaka huu mtakoma kulinga na nina imani kura za rais mkipata zaidi ni 25% mliyompa Lowasa.
Wananchi Wa Mkoa Wa Dodoma Wameshachoka Na Ccm Kila Kona Ukipita Wanasema Wanataka Mabadiliko Ya Lowassa Ili Waaondokane Na Kuomba Na Kuendelea Kuishi Kwenye Nyumba Za Tembe,hadi Karne Ya Sayansi Bado Wanaishi Ktk Nyumba Za Tembe, Wananchi Hao Walidai Kuwa Ccm Inasema Kwamba Dodoma Ni Ngome Yao Mwaka Huu Hawapati Kitu!
Mkuu nadhani wewe Dodoma ni mpitaji sio mwenyeji wala mkazi wa hapa. Kwa mkoa wa Dodoma sio rahisi kwa vyama vya upinzani kupata hata jimbo moja. mfano Dodoma mjini, Antony Mavunde hata akiacha kuendelea na kampeni leo ataibuka na ushindi wa kishindo. Subiri Oktoba ndo utaamini, watu wa Dodoma waache kama walivyo.Wananchi Wa Mkoa Wa Dodoma Wameshachoka Na Ccm Kila Kona Ukipita Wanasema Wanataka Mabadiliko Ya Lowassa Ili Waaondokane Na Kuomba Na Kuendelea Kuishi Kwenye Nyumba Za Tembe,hadi Karne Ya Sayansi Bado Wanaishi Ktk Nyumba Za Tembe, Wananchi Hao Walidai Kuwa Ccm Inasema Kwamba Dodoma Ni Ngome Yao Mwaka Huu Hawapati Kitu!
Unaota kama yule anayejinyea