VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Wengine hawa hapa wote hawa wanasifa za kuwa viongozi siyo kama vile vipusa vya chagadema.Nasajili ukweli wangu leo. Nimekuwa chamani, CCM kwa miongo kadhaa. Nimewajua watu,vitu na sehemu mbalimbali. Presidential material si mtu mmoja. Ni mfumo ambao ndio utakaochukua hatamu. Kama ulivyo Urais wenyewe ulivyo si binafsi,mgombea si binafsi. Ndani ya CCM kwasasa hakuna.
Mfumo huwa na malengo yafananayo. Ndani ya CCM,kila mtajwa kawa mgombea mtarajiwa ana wafuasi maslahi tu wenye maslahi tofauti. Wanapelekeshwa na haja zao na si hoja zao. Mawazo na malengo tofauti hayajengi mfumo. Kukosekana mfumo thabiti ni kukosekana presidential material.
Nasema,bado hakuna mwenye mfumo wa kuwa Rais ndani ya CCM na hivyo mwenye sifa hayupo. Vyombo vya habari vitatumika kupamba na kuremba. Lakini,hakuna mwenye sifa. Pesa na hisa vitatumika kisiasa na kwa mikasa.Watanzania watalishwa kasa wasipokuwa makini.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Ruvuma)
Nasajili ukweli wangu leo. Nimekuwa chamani, CCM kwa miongo kadhaa. Nimewajua watu,vitu na sehemu mbalimbali. Presidential material si mtu mmoja. Ni mfumo ambao ndio utakaochukua hatamu. Kama ulivyo Urais wenyewe ulivyo si binafsi,mgombea si binafsi. Ndani ya CCM kwasasa hakuna.

Hahahaha naona umewaamulia wenzako kwelikweli week hii, au unayoyakuta huko kwenye ziara zake yanakukatisha tamaa..
Mkuu.
Kwa nini CCM bila Rushwa haiwezekani?
Wapo wengi sana hawa unaowaona hawa wanasifa za kuwa wagombea urais na kuchaguliwa kuongoza tanzania.
"Upinzani wa Tanzania hauna mtu yoyote mwenye uwezo wa kushika nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sasa!." SabodoWaache wajidanganye
Upinzani wa Tanzania hauna mtu yoyote mwenye uwezo wa kushika nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sasa!. Sabodo
Wengine hawa hapa wote hawa wanasifa za kuwa viongozi siyo kama vile vipusa vya chagadema.