CCM asili yake ni Haki na Watu?

Asili ya CCM ni ufisadi,rushwa&mauaji
 
Ni kweli maana walioko ccm ni wasafi na Mali wanazomiliki ni halali. lakini watakapohamia upinzani tu utasikia vikwazo rukuki dhidi yao, Mara wana mashamba hawayaendelezi, Mara wamevamia maeneo ... pengine hata tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi zitaibuka wakati huo.
 
Asili yake ni JEMBE na NYUNDO, ikimaanisha kuwajali WAKULIMA na WAFANYAKAZI.
Kwa sasa hizo alama hakuna aliye tayari kuzitafsiri.
 
Naona polepole anachambia mfuko wa nailoni akidhani toilet paper
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…