Nimeshuhudia katika Taarifa ya Habari ITV ni katika kikao cha Balaza la madiwani. Madiwani wa CCM akiwemo mwenyekiti wa Halmashauri wamesema Iwapo serikali haitachukua hatua juu ya mgogolo wa Ardhi uliopo huko baina ya wananchi na wawekezaji basi wao wote watarudisha kadi za CCM na kujivua uanachama na hawataishia hapo pia watawashawishi wanachama wote wa CCM katika kata zao kurudisha kadi za CCM. Na ili kuweka msisitizo wameunda tume ya madiwani kadhaa ambao wataenda kuonana na Rais na yasipotolewa majibu sahihi wanachukua huo uamuzi mgumu.
hivi kimenuka ndio nini kwa mfano?
hivi kimenuka ndio nini kwa mfano?
Kula dengu na viazi af jifunike shuka then jamba kwa nguvu af kaa dk 5 bila kufunua shuka utaelewa.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Kwa hiyo kama wakigoma kutekelezewa hicho wanachokihitaji ndio wamesema watarudisha Kadi za CCM wao na wananchi wanaowaongoza ambao ni wanachama wa CCM, swali la msingi je CCM itakuwa tayari kupoteza Wanachama kwa ajili ya kuwalinda hawa Vibaraka?Hii ni njaa tu mashamba wanatodai ni ngumu kupewa mfano dolly estate ile imejengwa na mabilionea mapaka wengine wamefuga nembo ya taifa garden kwao