MCHINA2000
Member
- Aug 27, 2016
- 28
- 26
Huu sasa ni uzembe ,issue ya madawati ,kunguni ,madarasa nayo ni ya kumsubiri waziri mkuu? Chuo kinaingiza hela kila mwaka na si lazima uchukuwe wanafunzi wengi ambao hata madarasa ya kusomea hakuna.Mkuu wa chuo anatakiwa asuluhishe haya pamoja na bodi ya chuo sio waziri mkuu.Campus zipo nyingi wanachuo wengine wapelekwe dodoma au mwanza sio kurundikana mjini