AfroCodes Member Joined Jan 27, 2017 Posts 79 Reaction score 23 May 22, 2023 #1 Ni saivi ya kujaza chumba, apo imekunjwa, conditions yake ni nzuri kama unavyoiona. Nahitaji 50 tu chap Lipo kigamboni 0738 862 877
Ni saivi ya kujaza chumba, apo imekunjwa, conditions yake ni nzuri kama unavyoiona. Nahitaji 50 tu chap Lipo kigamboni 0738 862 877
Tayukwa JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 2,182 Reaction score 4,422 May 22, 2023 #2 AfroCodes said: Ni saivi ya kujaza chumba, apo imekunjwa, conditions yake ni nzuri kama unavyoiona. Nahitaji 50 tu chap Lipo kigamboni 0738 862 877View attachment 2630886 Click to expand... Nakutakia biashara njema lakini tangazo hukulitendea haki. Hivi kapeti ni mkunjo au rangi ambayo inaweza shawishi watu, umelipeleka kwenye wash pump machine? Achana na kupigiwa simu kwanza Mauzo mema
AfroCodes said: Ni saivi ya kujaza chumba, apo imekunjwa, conditions yake ni nzuri kama unavyoiona. Nahitaji 50 tu chap Lipo kigamboni 0738 862 877View attachment 2630886 Click to expand... Nakutakia biashara njema lakini tangazo hukulitendea haki. Hivi kapeti ni mkunjo au rangi ambayo inaweza shawishi watu, umelipeleka kwenye wash pump machine? Achana na kupigiwa simu kwanza Mauzo mema
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,036 Reaction score 110,552 May 22, 2023 #3 Naona kuna ua pink hapo katikati linavutia kwa macho...π
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 26,264 Reaction score 39,510 May 22, 2023 #4 AfroCodes said: Ni saivi ya kujaza chumba, apo imekunjwa, conditions yake ni nzuri kama unavyoiona. Nahitaji 50 tu chap Lipo kigamboni 0738 862 877View attachment 2630886 Click to expand... Nyumba mpaka mlango pink? Mkuu hapa hapoπ€£
AfroCodes said: Ni saivi ya kujaza chumba, apo imekunjwa, conditions yake ni nzuri kama unavyoiona. Nahitaji 50 tu chap Lipo kigamboni 0738 862 877View attachment 2630886 Click to expand... Nyumba mpaka mlango pink? Mkuu hapa hapoπ€£
Tayukwa JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 2,182 Reaction score 4,422 May 22, 2023 #5 Ushimen said: Naona kuna ua pink hapo katikati linavutia kwa macho...π Click to expand... Kwenye ua pink kuna blue bahari nayo inavutia
Ushimen said: Naona kuna ua pink hapo katikati linavutia kwa macho...π Click to expand... Kwenye ua pink kuna blue bahari nayo inavutia
AfroCodes Member Joined Jan 27, 2017 Posts 79 Reaction score 23 May 22, 2023 Thread starter #6 Kama unahitaji nipigie simu, bado lipo
rikiboy JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 22,170 Reaction score 43,969 May 22, 2023 #7 Tayukwa said: Kwenye ua pink kuna blue bahari nayo inavutia Click to expand... π π π π hii hatari sana..!!
Tayukwa said: Kwenye ua pink kuna blue bahari nayo inavutia Click to expand... π π π π hii hatari sana..!!
Tayukwa JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 2,182 Reaction score 4,422 May 22, 2023 #8 rikiboy said: π π π π hii hatari sana..!! Click to expand... Kaka mkubwa bado analeta ubishi tu anataka apigiwe
rikiboy said: π π π π hii hatari sana..!! Click to expand... Kaka mkubwa bado analeta ubishi tu anataka apigiwe
AfroCodes Member Joined Jan 27, 2017 Posts 79 Reaction score 23 May 22, 2023 Thread starter #9 Tayukwa said: Kaka mkubwa bado analeta ubishi tu anataka apigiwe Click to expand... Mbona kama unateseka, unasshida gani ?
Tayukwa said: Kaka mkubwa bado analeta ubishi tu anataka apigiwe Click to expand... Mbona kama unateseka, unasshida gani ?
AfroCodes Member Joined Jan 27, 2017 Posts 79 Reaction score 23 May 22, 2023 Thread starter #10 AfroCodes said: Kama unahitaji nipigie simu, bado lipo Click to expand... Negotiable price