Cardiology vs radiology

tss

Member
Joined
Aug 31, 2023
Posts
73
Reaction score
41
Ipi inatambulika Tanzania ,na ajira zake zipoje ,nawasilisha
 
Ipi inatambulika Tanzania ,na ajira zake zipoje ,nawasilisha
Zote zinatambulika
Cardiology ni taaluma ya matibabu ya moyo, Radiology ni matibabu ya mionzi, hutumika kutibu magojwa ya saratani, lakini pia mashine za vipimo X-rays, gama rays, CT scan zote hizo ni radiology

Kuhusu ajira chochote kinachohusu matibabu ya bindamu kina ajira kwa sababu idadi ya watu inaongezeka na magonjwa yasiyoambukiza ndio tatizo kubwa sana hapa duniani kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…