Cardiology vs radiology

tss

Member
Joined
Aug 31, 2023
Posts
73
Reaction score
41
Ipi inatambulika Tanzania ,na ajira zake zipoje ,nawasilisha
 
Ipi inatambulika Tanzania ,na ajira zake zipoje ,nawasilisha
Radiology ndo marketable, mwaka juz hata mwaka Jana ajira za tamisemi wataalamu wa mionzi (radiologist) nafasi zake hadi zilikosa watu, baada ya placement wakarudia kutangaza tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…