hurrem_sultana Senior Member Joined Sep 6, 2018 Posts 136 Reaction score 361 Sep 8, 2018 #1 Baada ya jana Cardi B kuchezea kichapo inaonekana bifu kati ya wawili hawa sio la kuisha leo wala kesho. Nicky Minaj alidumu kwenye game kwa muda mrefu bila upinzani sasa kampata mpinzani wa kweli anawashwa washwa. Kwanza album yake ni mbovu mnoo lazima apanic. Iggy Azalea karudi nae kwa kasi ya ajabu
Baada ya jana Cardi B kuchezea kichapo inaonekana bifu kati ya wawili hawa sio la kuisha leo wala kesho. Nicky Minaj alidumu kwenye game kwa muda mrefu bila upinzani sasa kampata mpinzani wa kweli anawashwa washwa. Kwanza album yake ni mbovu mnoo lazima apanic. Iggy Azalea karudi nae kwa kasi ya ajabu
Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,618 Reaction score 27,599 Sep 8, 2018 #2 Mi kwa Nick huniambiii kitu aiseee
MAJIYAPWANI JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 1,732 Reaction score 2,714 Sep 8, 2018 #3 hakuna rapper hapo wote wanapushiwa na GHOSt writes
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,400 Reaction score 465,165 Sep 8, 2018 #4 Cardi B acha yamkute tu