Car for sale: 5.5Mil

styl

Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
52
Reaction score
8
Nauza gari FIT, imetembea 88,000km iko katika hali nzuri kabisa.
Kwa anayehitaji: 0658455120
 
Attachments

  • fit1.jpg
    98.6 KB · Views: 494
  • fit2.jpg
    114.3 KB · Views: 430
  • fit3.jpg
    120.7 KB · Views: 410
upatikanaji wa spea za gari hii ukoje mkuu na gharama zake kwa ujumla zikoje?,najua kwa cc za gari hii itakuwa inakula vizuri mafuta,vp hayo mengine niliyokuuliza mkuu?,kila la kheri,gari ipo bomba sana
 
Spea zinapatikana siku hizi coz magari haya yamekuwa mengi mnoooo hapa mjini. bei hazijatofautiana sana na toyota na ziko sawa na swift. Kama ulivyosema mafuta haili sana; nimekuwa nikitumia mafuta ya 5,000/= kutoka mbezi(kimara)-mwenge na KURUDI MBEZI.
 
Hii gari kama bado ipo nijulishe tuongee vizuri.Hope discount ipo hapo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…