Wasalaam wakuu!
Nahitaji kubadilishana gari na mtu mwenye uhitaji huo, mimi nina; Toyota Crown Mileage 75000/>Colour:Mwaka 2005 silver<br />Insuarance comprehensive<br />imelipiwa kila kitu.Nahitaji kubadilishana na toyota harier ya 2005 au SUZUKI ESCUDO na nitaongeza pesa kidogo kilingana na makubaliano na mhusika.Nahitaji gari ya juu kwa sasa