Haha na wewe tupe sababu za kuuza,maake nawe ndio neno lako la kwanza mdau akitangaza kuuza kitu chake kama ulivyomtaka aliyetangaza kuuza guest house wa Tabata Kimanga,na sasa nawe tunataka mrejesho wa kwanini unauza hizo photocopy
Mkuu what do you mean hazijatumika.., kwenye hio picha hazionekani kama ni brand new, zimeshatoa copy ngapi na zipo mkoa gani, na bei ni kuanzia kiasi gani