Unadhani ni nyanya hizi, zile zama za mteja ni mfalme zmeishapitwa na wakati na wateja washakuja pm wakutosha waluo serioz
Alaf unaweza kuta nabishana na KAOGE ngoja nikuache tuu
Hahahahahah Kwani inteveiw yako na zamaradi mtairudia lini tena ndgu yang kaogeKwa hiyo umewaacha serious buyer huko PM umekuja kujibizana na mpitanjia ukitegemea utauza hiyo camera!!!!!?
Madhara zaidi unazidi kuya expose mwenyewe!!
Ukiyatajiwa kinagaubaga unaanza kulalamika "oooh mungu anakuona"
Nasisitiza tena hiyo Camera hutaiuza mpaka u behave in public.
Sasa mambo ya mzazi yamefikaje hapo?Inaonekana hata wewe malezi haukuwa unakanywa maana unaropoka tu bila kujali impact ya ulichokisemaKwa majibu haya itakuozea, na ikuozee tu maana hakuna namna, na mimi napendekeza muachieni imuozee.
Hizi adabu za mikia ya mbuzi mara nyingi unazipata kwa malezi ya watoto waliolelewa na nnzazi mmoja.
Sasa mambo ya mzazi yamefikaje hapo?Inaonekana hata wewe malezi haukuwa unakanywa maana unaropoka tu bila kujali impact ya ulichokisema
Hahahahahah Kwani inteveiw yako na zamaradi mtairudia lini tena ndgu yang kaoge
hakika we jamaa ni tahira biashara na maisha ya kifamilia wapi na wapi ww umeniumiza sana hisia zangu kuwa na busara kama huna pesa acha una namna nyingine fanya upate unachohitaji hizo ni kashfa kabisa bwana ww.kulelewa na mzazi mmoja ni matokeo ktk maisha umegusa sehemu mbaya we jamaaNa wewe kama ulilelewa na wazazi wote wawili mshukuru Mungu, lakin isiwe sababu ya kuwadharau waliolelewa na mzazi mmoja,, dunia hii twapita tu, waweza ondoka leo na kama una watoto basi na wao wakajikuta wanabaki na mzazi mmoja.
Soma vizuri nilichokiandika braza,, maana naona umeniatack wakati aloleta zereu hizo sio miehakika we jamaa ni tahira biashara na maisha ya kifamilia wapi na wapi ww umeniumiza sana hisia zangu kuwa na busara kama huna pesa acha una namna nyingine fanya upate unachohitaji hizo ni kashfa kabisa bwana ww.kulelewa na mzazi mmoja ni matokeo ktk maisha umegusa sehemu mbaya we jamaa
Naona unatafuta bwana kwa nguvu kwani hujui ww unaweza ukawa mwanangu tena kama huna cha kuandika humu pita pembeni kaanzishe uzi wakonna mashaka na WEMA mbna kangangania sana kaoge kaoge kaoge ndo nni? ndo nani? unapo oona mtu yupo jf usidhani wote ni vijana au watoto kama ww jaribu kubehave mdogo wangu kama camera ulishapata serious buyer maneno na kejeli za nni
Msameheni bure jamani unawekuta ni mtoto wa dawahakika we jamaa ni tahira biashara na maisha ya kifamilia wapi na wapi ww umeniumiza sana hisia zangu kuwa na busara kama huna pesa acha una namna nyingine fanya upate unachohitaji hizo ni kashfa kabisa bwana ww.kulelewa na mzazi mmoja ni matokeo ktk maisha umegusa sehemu mbaya we jamaa
Soma vizuri nilichokiandika braza,, maana naona umeniatack wakati aloleta zereu hizo sio mie
Sasa mambo ya mzazi yamefikaje hapo?Inaonekana hata wewe malezi haukuwa unakanywa maana unaropoka tu bila kujali impact ya ulichokisema
Hahahahaaaaa mkuu kwani mie ndo nauza Camera?,Umekosea mkuu kumwambia mwenzako hata aje uchi wakati tangazo lako linaruhusu bei pungufu.
sorry WEMA gdnytHivi wanafunzi wako wakiona ujinga wako watakuheshimu kweli?
Mambo mengne unajiaibisha tuu kimaro bora ukae kmya
poa wema
Kwani we humjui Wema kwa nyodo?Kwa majibu haya itakuozea, na ikuozee tu maana hakuna namna, na mimi napendekeza muachieni imuozee.
Hizi adabu za mikia ya mbuzi mara nyingi unazipata kwa malezi ya watoto waliolelewa na nnzazi mmoja.
Nilikua simjui.Kwani we humjui Wema kwa nyodo?