Canon 650d with 18-55mm

issawema

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2013
Posts
776
Reaction score
643
Ipo katika hali nzuri with touch screen
Betri mbili charger na bag unapata
Karibun bei ni 1.1m
Pungufu tunaongea
 
nlitaka ninunue ila ntaenda jumbo tu bei zao ni rahic sana
 
Hata kama ungekuja uchi
Kwa majibu haya itakuozea, na ikuozee tu maana hakuna namna, na mimi napendekeza muachieni imuozee.

Hizi adabu za mikia ya mbuzi mara nyingi unazipata kwa malezi ya watoto waliolelewa na nnzazi mmoja.
 
Na wewe kama ulilelewa na wazazi wote wawili mshukuru Mungu, lakin isiwe sababu ya kuwadharau waliolelewa na mzazi mmoja,, dunia hii twapita tu, waweza ondoka leo na kama una watoto basi na wao wakajikuta wanabaki na mzazi mmoja.
 
huyo dgo anayeuza camera hajielew msigombane mwacheni awauzie wasiojelewa wenzake msigombane
 
Camera lazima ikudodee!!
Yaani una sajesti mwenzio aje "uchi" kama ushawishi!!! Bado unataka kujilinganisha na wenye adabu zao!!
Camera chemsha iwe supu mnunuzi hupati.
Na wewe kama ulilelewa na wazazi wote wawili mshukuru Mungu, lakin isiwe sababu ya kuwadharau waliolelewa na mzazi mmoja,, dunia hii twapita tu, waweza ondoka leo na kama una watoto basi na wao wakajikuta wanabaki na mzazi mmoja.
 
huyo dgo anayeuza camera hajielew msigombane mwacheni awauzie wasiojelewa wenzake msigombane
Ni kweli huyu anaeuza Camera hajielewi na hawez pata mteja kwa maneno yake ya shombo
 
Na wewe kama ulilelewa na wazazi wote wawili mshukuru Mungu, lakin isiwe sababu ya kuwadharau waliolelewa na mzazi mmoja,, dunia hii twapita tu, waweza ondoka leo na kama una watoto basi na wao wakajikuta wanabaki na mzazi mmoja.
Umekosea mkuu kumwambia mwenzako hata aje uchi wakati tangazo lako linaruhusu bei pungufu.
 
Kwa majibu haya itakuozea, na ikuozee tu maana hakuna namna, na mimi napendekeza muachieni imuozee.

Hizi adabu za mikia ya mbuzi mara nyingi unazipata kwa malezi ya watoto waliolelewa na nnzazi mmoja.
 
Attachments

  • 1474778918228.jpg
    17.4 KB · Views: 40
Kwa majibu haya itakuozea, na ikuozee tu maana hakuna namna, na mimi napendekeza muachieni imuozee.

Hizi adabu za mikia ya mbuzi mara nyingi unazipata kwa malezi ya watoto waliolelewa na nnzazi mmoja.
Unadhani ni nyanya hizi, zile zama za mteja ni mfalme zmeishapitwa na wakati na wateja washakuja pm wakutosha waluo serioz

Alaf unaweza kuta nabishana na KAOGE ngoja nikuache tuu
 
mmmh bado hujakua kifikra hakuna mteja anaweza kukupm kama akili zako ni fup kias hicho ulitaka nije uchi ili nkufanyeje?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…