Kama ni huyo jamaa basi kweli itakosa mvuto kabisa maana alikuwa na tone yake flani hivi.Yah a good looking man, mechi nyingi amekuwa mtangazaji akiongoza vipindi vya uchambuzi kabla ya mechi kuanza.
Yap huyo huyo halafu yuko smart sanaNi yule jamaa black flani hivi mnene?
Vyovyote vile ila kuziba pengo la yule jamaa ni kazi kweli kweli watapata tabu sana just wait and see.hao jamaa wana hela sana.. kushuka ngumu... wanaweza kumuajiri yeyote
hao jamaa wanaajiri kina ben mac carty, kina joseph yobo, kina samuel kuffor, dennis amokachi..